Watakatifu wa Julai
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
3
Jul
Thomas, Mtume
Mama Kanisa anatualika kwenye sherehe ya kumbukumbu kwa heshima ya Mtakatifu Thomas aliyezaliwa huko Galilaya...
6
Jul
Maria Goretti
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuw...
9
Jul
Veronika Giuliani
Kanisa linafanya kumbukumbu kwa heshima ya Mtakatifu Veronika aliyezaliwa Binasco,Milan Nchini Italia mwaka 16...
10
Jul
Mwenyeheri Emmanuel Ruiz na Wenzake, Mashahidi
Mwenyeheri Emmanuel Ruiz alizaliwa Mei 5, 1804 huko Santander katika Taifa la Hispania. Baada ya masomo yake M...
11
Jul
Benedicto , Abate
Mama Kanisa anatuomba tuungane naye katika sherehe kwa heshima ya Mtakatifu Benedict aliyezaliwa March 2, 480...
12
Jul
Yohani Gualbert
Mtakatifu Yohani Gualbert alizaliwa mwaka 985 huko Florence nchini Italia na alisoma mapema. Kaka yake wa peke...
13
Jul
Henriko, Kaisari wa Ujerumani
Henriko alizaliwa Regensburg mkoani Bavaria (Ujerumani) mwaka 973. Mtakatifu Wolfgang, askofu wa Regensburg, a...
14
Jul
Kamili wa Lelis , Padre na Mwanzilishi wa Shirika
Kamili alizaliwa karibu na Chieti katika mkoa wa Abruzi (Italia) mwaka 1550. Mama yake alifariki mapema, yeye...
31
Jul
Ignasi wa Loyola
Inyasi wa Loyola Padre na Mwanzilishi wa Kanisa Inyasi alizaliwa mwaka 1491 huko Loyola (Hispania ya Kaskazini...