Watakatifu wa Machi
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
1
Mac
Switberti
Maisha ya Switberti ni kielelezo bora kuhusu matatizo katika maisha ya Wamisionari: matatizo ya usafiri katika...
2
Mac
Karoli Mwema, Mfiadini
Karoli alikuwa mwana wa Mtakatifu Kanuti mfalme mfiadini wa Denmark, alitawala nchi za Amiens (Ufaransa) na za...
11
Mac
Eloji
Zamani zile, Magrebi, ndio Waislamu wa Moroko (Afrika ya Kaskazini), waliingia bara Hispania, wakakaa. Sultani...
11
Mac
Teresia Margareta Redi
Teresia Margareta Redi alizaliwa Italia. Alipokuwa na umri wa miaka kumi na minane, alijiunga na Shirika la Ma...
17
Mac
Patrisi
Patrisi alizaliwa na wazazi wa ukoo bora wa Kiroma. Alizaliwa huko Uingereza mwaka 385, baba yake alikuwa ofis...
18
Mac
Sirili wa Yerusalemu
Sirili alizaliwa Yerusalemu (Israeli), mwaka 315, na wazazi wakristu. Mt. Maksimo, askofu wa Yerusalemu, alimp...
19
Mac
Yosefu
Mtakatifu Yosefu, baba na Mlishi wa Yesu na Mume wa Bikira Maria, anasifiwa katika Maandiko Matakatifu kama "M...
24
Mac
Katarina wa Sweden
Katarina Ulfedotter alikuwa mtoto wa nne kati ya watoto wanne wa Mt. Birgita, mjane na mtawa. Alipokuwa bado m...