Watakatifu wa Februari
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
1
Feb
Brigida, Mtawa
Baba wa Birgida alikuwa Mwairishi wa jamaa bora, jina lake Duptaku. Birgida hakuwa binti yake halali, maana al...
3
Feb
Ansgari
Ansgari alizaliwa huko Ufaransa mwanzoni mwa karne ya tisa, labda mwaka 801. Alielimishwa katika monasteri. Mn...
3
Feb
Blaise
Mt. Blaise alikua ni Askofu wa Sebastia huko Armenia ambaye alifariki kama mfia Dini katika utawala wa Liciniu...
3
Feb
Blasi, Askofu na Mfiadini
Hata siku hizi Wakristu huzoea kumwomba Mtatifu Blasi msaada katika maradhi na magonjwa ya koo, kwa sababu Mta...
4
Feb
Gilberti
Gilberti alizaliwa Sempringhum (Uingereza), siku za mwisho za utawala wa mfalme Wiliam. Alikuwa mwana wa Josel...
5
Feb
Agata
Agata alikuwa msichana wa jamaa bora, nzuri na tajiri. Basi, Kwinsiano, Gavana wa Sisilia, alitamani sana kumw...
6
Feb
Paulo Miki na Wenzake
Mtakatifu Paulo Miki mwenye asili ya Japan alikua Mkatoliki wa Shirika la Jesuit. Alifariki kama mfia dini (Fe...
7
Feb
Mwenyeheri William Richardson, Padre na Shahidi
Mwenyeheri William Richardson Alizaliwa huko Sheffield, Mwaka 1572 Uingereza.Alikwenda kusoma katika seminari...
7
Feb
Mwenyeheri Yakobo Wa Sale, Padri Na Shahidi
Mwenyeheri Yakobo wa Sale, alizaliwa mwaka 1556, Marchi 21, Lezoux, Ufaransa. Alisoma katika shule ya wa Jesui...
7
Feb
Wenyeheri Yakobo wa Sale na William, Wafiadini
Yakobo wa Sale alizaliwa Ufaransa mwaka 1556. Baba yake alikuwa Mtumishi wa Askofu. Yakobo aliingia shule ya M...
8
Feb
Jeronimo Emiliano
Jeronimo Emiliano alizaliwa Vanis (Italia) mwaka 1486, akaingia uaskari alipokuwa na umri wa miaka kumi na mit...
8
Feb
Josephine Bakhita
Msimamizi wa Mlinzi wa nchi ya Sudan Mt. Bakhita Josephine alizaliwa mwaka 1869, katika kijiji kidogo katika eneo la Darfur nchini Sudan. Yeye alit...
9
Feb
Apolonia, Bikira Mfiadini
Zamani za Kaisari Filipo, Wakristu walifukuzwa vibaya katika Aleksandria (Misri). Wengi wao walikimbia kwa hof...
10
Feb
Skolastika
Skolastika alikuwa dada pacha wa Mt. Benedikto . Walizaliwa huko Norsia (Italia), mwaka 480. Wote wawili walij...
13
Feb
Katarina wa Risi
Katarina alizawa Risi (Italia) mwaka 1519 na alipokuwa na umri wa miaka kumi na mitatu aliingia katika Shirika...
14
Feb
Sirili & Metodi
Watakatifu Sirili na Metodi walizaliwa Tesalonike (Ugiriki) Mtakatifu Sirili alielimishwa huko Konstantinopoli...
15
Feb
Walfrido
Walfrido alizaliwa Pisa (Italia). Alioa mwanamke aliyempenda sana, wakazaa watoto wa kiume watano na walau mmo...
17
Feb
Silvini
Mt. Silvini alitumwa na Baba Mtakatifu kwenda kuhubiri Habari Njema popote aendapo, ndiyo maana hakuwa na kika...
17
Feb
Waanzilishi Saba Wa Shirika la Watumishi wa Bikira Maria
Mnamo mwaka 1233 kikundi cha vijana saba, waliojulikana kama vijana bora wa mji wa Florensi (Italia) walikwend...
18
Feb
Teotoni
Teotoni alikuwa padre mwenye maisha matakatifu na hakuopenda raha za dunia. Alikuwa pia mhubiri hodari ambaye...
19
Feb
Konradi
Konradi alikaa mjini Plezansi (Italia). Kwanza alifuata anasa za dunia; furaha yake hasa ilikuwa kuwinda wanya...
20
Feb
Yasinta & Fransisko wa Fatima
Kati ya Mei 13 na Oktoba 13, 1917, watoto watatu Lucia, Fransisco na Yasinta wachungaji wa Kireno kutoka Alhin...
20
Feb
Zenobi
Mtakatifu Zenobi alikuwa Padre wa jimbo la Sidoni (Lebanoni). Alijulikana kwa ujuzi wake wa dawa, hivyo alikuw...
21
Feb
Petro Damiano
Petro Damiano alizaliwa Ravena (Italia) mwaka 1007. Wazazi wake walikufa alipokuwa angali bado mtoto, na yeye...
22
Feb
Margarita wa Kartona
Margarita alizaliwa Liviano, karibu na Kartona (Italia), mwaka 1249, akiwa mtoto wa mkulima maskini. Alipokuwa...
23
Feb
Polikarpo
Polikarpo alifundishwa dini na Mitume katika ujana wake akabatizwa. Alifanya urafiki na Mt. Inyasi wa Antiokia...
24
Feb
Mwenyeheri Luka Belludi
Mnamo 1220, Mtakatifu Antoni alikuwa akihubiri ubadilishaji kwa wenyeji wa Padua wakati kijana mashuhuri, Luka...
25
Feb
Mwenyeheri Sebastiano Aparisio
Sebastiano alizaliwa Hispania kama mtoto wa wazazi maskini. Katika utoto wake kazi yake ya kawaida ilikuwa ni...
25
Feb
Walburga
Walburga alizaliwa Uingereza, alikuwa dada wa Watakatifu Wilibaldi na Winebaldi ambao wote wawili walifuatana...
26
Feb
Porfiri
Porfiri alizaliwa Saloniki (Ugiriki). Alishika ufukara ambao Bwana Yesu anausifu katika Injili. Aliingia utawa...
27
Feb
Gabrieli wa Maria wa Mateso
Fransisko Possenti alizaliwa Asizi (Italia) mwaka 1838. Alikuwa mtoto wa kumi na mmoja kati ya watoto kumi na...
27
Feb
Leandri, Askofu
Leandri alikuwa Askofu wa Sevila (Hispania), mdogo wake, Mt. Isidori, alimfuata kama Askofu wa Sevila. Dada ya...
28
Feb
Romano na Lupisini
Romano alizaliwa Ufaransa. Alipokuwa na umri wa miaka thelathini na mitano, alikwenda kukaa msituni katika mip...
29
Feb
Oswaldi
Mtakatifu Oswaldi alizaliwa Uingereza, lakini wazazi wake walitoka nchi ya Denmark. Alikaa kwa mjomba wake Mt....