Watakatifu wa Juni
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
1
Jun
Yustini
Mtakatifu Yustini Mfiadini alizaliwa na wazazi Wagiriki wapagani mjini Nablus katika mkoa wa Samaria (Palestin...
2
Jun
Marselino na Petro
Habari za kifo cha wafiadini hawa waliokufa wakati wa madhulumu ya wakristu yaliyofanywa na Kaisari Dioklesian...
3
Jun
Karoli Lwanga na wenzake
Wafiadini hawa ishirini na wawili wote ni Waafrika. Walipata taji la mbingu wakati wa dhulumu ya Mwanga, mfalm...
6
Jun
Norbert, Askofu
Mtakatifu Norbert alizaliwa mwaka 1080, Xanten, Jimbo la Cologne, Ujerumani. Alikua, akasoma vizuri katika mji...
8
Jun
Medardi, Askofu
Hapo zamani katika Ufaransa ya kaskazini palikuwa na mwanamke mkristu aliyetaka kuweka nadhiri ya ubikira, jin...
9
Jun
Efrem, Shemasi na Mwalimu wa Kanisa
Mtakatifu Efrem alizaliwa katika nchi ya Siria, mnamo mwaka 306. Alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipo...
10
Jun
Landri, Askofu wa Paris
Mtakatifu Landri alikuwa askofu wa mji wa Paris (Ufaransa) zamani za Mfalme Klovis. Hatuna habari zake nyingi,...
11
Jun
Barnaba, Mtume
Mtakatifu Barnaba alizaliwa katika kisiwa cha Kupros, na lugha yake ya kwanza ilikuwa Kigiriki. Mitume walimwi...
13
Jun
Anthony wa Padua
Mt Anthony wa Padua alizaliwa mwaka 1195 huko Lisbon,Ureno.Aliitwa Fernando Martins.Alizaliwa katika familia n...
16
Jun
Yohane Francesco Regis
Msimamizi wa Vyuo Vikuu na Watengeneza Nguo Mtakatifu Yohane Francesco Regis alizaliwa Januari 31, 2597 huko Fontcouverte, Aude nchini Ufaransa. Baba yake...
17
Jun
Emilia de Vialar
Mama Kanisa anatualika kumbukumbu na heshima kwa Mtakatifu Emilia de Vialar aliyezaliwa September 12, 1797 huk...
18
Jun
Juliana Falconieri
Mtakatifu Juliana Falconieri alizaliwa mnamo mwaka 1270 katika familia yenye uwezo kifedha huko Florence nchin...
20
Jun
Adalbert
Mama Kanisa anatualika katika kumbukumbu na heshima kwa Mtakatifu Adalbert aliyezaliwa mwaka 910 huko Lorraine...
21
Jun
Aloisi Gonzaga
Mtakatifu Aloisi Gonzaga, Somo wa vijana Wakristo alizaliwa mwaka 1568 na wazazi watukufu katika jumba la Kast...
22
Jun
Paulinus
Kanisa linafanya kumbukumbu kwa heshima ya Mtakatifu Pontius Meropius Paulinus aliyezaliwa mwaka 354 huko Bord...
23
Jun
Joseph Cafasso
Msimamizi wa magereza na wafungwa Mama Kanisa katika siku ya ishirini na tatu ya mwezi wa Sita anatualika kufanya kumbukumbu na heshima kwa Mtak...
24
Jun
Bartolomayo wa Farne, Mtawa
Mtakatifu Bartolomayo wa Farne, Mkaapweke Sikukuu: Juni 24 Alizaliwa: mwanzoni mwa karne ya 12, Whitby, kaskaz...
25
Jun
William wa Vercelli
Kanisa linafanya kumbukumbu ya Mtakatifu William aliyezaliwa mwaka 1085 katika familia bora huko Vercelli nchi...