Watakatifu wa Novemba
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
1
Nov
Watakatifu Wote
Sherehe ya Watakatifu Wote Tarehe: Novemba 1 Daraja: Sherehe (Solemnity), daraja la juu kabisa katika kalenda...
3
Nov
Martin wa Porres
Msimamizi wa Watu wa rangi mchanganyiko, kinyozi, wahudumu wa afya, haki za kijamii, na umoja kati ya watu wa rangi tofauti Mtakatifu Martin wa Porres, Mtawa Sikukuu: Novemba 3 (kumbukumbu ya hiari) Alizaliwa: Desemba 9, 1579, Lima, P...
4
Nov
Leo Karoli Boromeo, Askofu
Msimamizi wa Maaskofu, seminari na waseminari, makatekista, na viongozi wa kiroho Mtakatifu Karoli Borromeo, Askofu Sikukuu: Novemba 4 (kumbukumbu ya lazima) Alizaliwa: Oktoba 2, 1538, Arona,...
5
Nov
Zakaria na Elizabeti
Zakaria na Elizabeti walikuwa wazazi wa Yohane Mbatizaji. Zakaria alikuwa kasisi wa agano la Kale, naye Elizab...
7
Nov
Wilibrodi (Askofu na Mtawa)
Wilibrodi, mtume wa Uholanzi, alizaliwa Uingereza mwaka 658. Alipokuwa na umri wa miaka saba, wazazi wake wali...
9
Nov
Kutabarukiwa Kanisa Kuu La Laterani
Hapo awali neno 'Letarani' lilikuwa jina la ukoo wa watu matajiri walioishi mjini Roma kwemye jumba kubwa sana...
10
Nov
Leo Mkuu
Alizaliwa Italia, lakini haijulikani ni kwenye sehemu gani wala hakuna habari yoyote juu ya miaka ya ujana wak...
11
Nov
Martini wa Tur
Martin alizaliwa mwaka 316 katika mkoa wa Panonia (Hungaria) katika familia isiyo ya kikristu. Mzee wake aliku...
12
Nov
Yosafati wa Polotski
Mt. Yosafati alazaliwa huko Ukraine (Urusi), mwaka 1580. Wazazi wake walikuwa Wakristu hodari wa Kiortodoksi w...
13
Nov
Stanislausi Kostka
Stanislausi Kostka ni mfano mzuri sana wa vijana Wakristu. Alizaliwa Poland mwaka 1550, na wazazi wa jamaa bor...
14
Nov
Didas wa Sevila
Didas alizaliwa na wazazi maskini sana nchini Hispania mwaka 1400. Alitaka kujiunga na Padre Mtakatifu aliyeis...
16
Nov
Getruda wa Helfta
Getruda alizaliwa mwaka 1256 huko Eisleben (Ujerumani). Alipokuwa na umri wa miaka mitano, aliwekwa chini ya u...
16
Nov
Margareta (Malkia wa Skotilandi)
Margareta alizaliwa mwaka 1046, akawa mjukuu wa mfalme Edmund wa Uingereza. William wa Normandia alipoiteka kw...
17
Nov
Elizabeti wa Hungaria, Mtawa
Elizabeti binti wa mfalme wa Hungaria, alizaliwa mwaka 1207. Aliposwa na Lui wa Turingia (Ujerumani) alipokuwa...
19
Nov
Hilda wa Witbi, Mtawa
Mtakatifu huyo, Mwingereza, alibatizwa alipokuwa na umri wa miaka kumi na mitatu, na aliishi maisha ya Kikrist...
20
Nov
Andrea Avelino (Mtawa)
Andrea Avelini alizaliwa mwaka 1521 huko Napoli (Italia) akaitwa Lunseloti. Alipopewa Upadre kwanza alisomea s...
22
Nov
Sesilia
Mambo yanayojulikana kwa hakika kabisa kuhusu Mt. Sesilia ni machache sana, nayo ni kwamba alikuwa bibi aliyek...
23
Nov
Klementi wa Kwanza
Mtakatifu Klementi aliongoka katika imani ya kweli kwa uongozi wa Mt. Petro. Katika barua zake Mt. Paulo (Fil....
23
Nov
Kolumbani wa Bobio (Abbati)
Mt. Kolumbani alizaliwa Ireland mwaka 550 hivi. Alipoona duniani kumejaa hatari nyingi, alinuia kuingia utawa,...
25
Nov
Silvesta Gozolini
Silvesta alizaliwa katika jamaa bora ya Gozolini mjini Osimo (Italia) mwaka 1117. Alipelekwa kujifunza sheria...
26
Nov
Yohana Berkamans
Yohana Berkamans Mtawa Yohani alizaliwa katika kijiji cha Diest (Ubelgiji) mwaka 1599, katika familia ya watu...
26
Nov
Yohani Berkmans
Yohani alizaliwa katika kijiji cha Diest (Ubelgiji), mwaka 1599, katika familia ya watu wenye kumcha Mungu. Ba...
27
Nov
Leonardi wa Porto Maurisio, Padre
Padre huyo alizaliwa mjini Porto Maurisio (Italia) mwaka 1671, na jina lake lilikuwa Paulo Jeronimo Kasanova....
28
Nov
Katarina Laburee, Mtawa
Wakatoliki wanaoifahamu medali ya Maria wa Mwujiza ni wengi, lakini asili ya medali hii hawaielewi. Ni Katarin...
30
Nov
Andrea, Mtume
Andrea, ndugu wa Simoni Petro, alizaliwa Betsaida mkoani Galilaya (Israeli), kwanza alikuwa mvuvi wa samaki, n...