Watakatifu wa Desemba
Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.
1
Des
Eliji, Askofu
Eliji alizaliwa Limoges (Ufaransa) katika mwaka 588. Alikuwa Sonara, mfua dhahabu na kwa sababu ya umahiri wak...
1
Des
Mwenyeheri Anwarite (Mtawa Na Mfiadini)
Alfonsina Nengepeta alizaliwa mjini Wamba (Zaire) mwaka 1939 akiwa mtoto wa nne wa Amisi Badjulu na Juliana Is...
2
Des
Bibiana, Mfiadini
Hatujui kwa hakika matokeo ya kufa kwake Bibiana, ila katika karne ya tano wakristu wa Roma (Italia) walikuwa...
3
Des
Fransisko Ksaveri
Fransisko Ksaveri alizaliwa Hispania mwaka 1506 na uzazi wa ukoo bora. Kama angalitaka angaliweza kujipatia uk...
4
Des
Yohani wa Damasko
Yohani alizaliwa Damasko (Siria) na wazazi wakristu, mwisho wa karne ya saba. Zamani hizo, mji wa Damasko ulit...
5
Des
Saba (Sabbas) Mkaa Pweke
Mtakatifu Saba alizaliwa mwaka 489 katika kijiji kilicho karibu na Kaisari (Israeli) Baba yake alikuwa ofisa k...
6
Des
Nikola, Askofu Wa Miri
Mtakatifu Nikola ndiye mmoja wa maaskofu wa Mashirika anayesifiwa zaidi. Alizaliwa katia Asia ndogo (Uturuki)....
7
Des
Ambrosi wa Milano
Ambrosi mtoto wa gavana wa Ufaransa, alizaliwa Tria (Trier, Ujerumani) mnamo mwaka 340 katika familia ya warom...
9
Des
Petro Furiye
Mtakatifu huyu ni Mfaransa aliyezaliwa mwaka 1565. Alielimishwa hadi chuo kikuu, na baada ya kuhitimu masomo y...
10
Des
Olimpia
Akiwa mtoto bado, Olimpia alifiwa na wazee wake wenye cheo kikuu, akalelewa na mwanamke mwadilifu na mwenye bu...
11
Des
Damas wa Kwanza , Papa
Damasi alizaliwa mwaka 305 katika familia ya Kihispania. Alikuja Roma (Italia) pamoja na jamaa yake, akapadiri...
12
Des
Yohana Fransiska wa Shantal
Yohani Fransiska alizaliwa huko Dijon (Ufaransa), mwaka 1572, katika ukoo uliosifiwa kwa umaarufu wake. Baba y...
13
Des
Lucia Bikira na shahidi
Mtakatifu Lusia ni mmojawapo wa wafiadini na mabikira wanaojulikana sana toka zamani na ibada ya kumheshimu im...
14
Des
Yohana wa Msalaba
Mtakatifu Yohani wa Msalaba alizaliwa Fontiveri (Hispania) yapata mwaka 1542. Mama yake alimfunza tangu utoto...
15
Des
Mwenyeheri Antoni Grassi
Mwenyeheri Antoni Grassi, Padre (1671) Baada ya kuzaliwa nchini Italia mwaka 1592, akawa kijana mwenye akili n...
16
Des
Adelaida wa Burgondia
Maisha ya mwanamke huyu Mtakatifu yanatushangaza kwa kadiri yanavyotudhihirishia kwamba hata watu wenye vyeo b...
17
Des
Maria Rosa
Mtakatifu anayekumbukwa leo hii, alidhihirisha maishani mwake kiasi kikubwa sana cha upendo wakidugu kwa wagon...
18
Des
Winibaldi, Abati
Winibaldi pamoja na mdogo wake Wilibaldi alitoka Uingereza kwenda Roma (Italia) kuhiji. Kwa kuwa aliugua huko,...
19
Des
Mwenyeheri Urbano wa Tano, Papa
Urbano alikuwa Mfaransa aliyezaliwa mwaka 1310, na alipobatizwa aliitwa jina lake Wiliam. Baada ya kuhitimu ma...
21
Des
Petro Kanisio
Petro Kanisio alizaliwa na wazazi wakatoliki mjini Nymegen (Uholanzi) mwaka 1521. Alipokuwa na umri wa miaka m...
22
Des
Fransiska Kabrini
Fransiska alizaliwa Italia mnamo mwaka 1850 kama kitinda mimba wa mama yake ambaye alizaa watoto kumi na watat...
23
Des
Yohani wa Kanti
Yohani alizaliwa Kanti, jimboni Krakau (Poland) mwaka 1390. Kiisha kupadirishwa aliwekwa kuwa Mwalimu wa Chuo...
24
Des
Anastasia
Habari zilizoandikwa juu ya Mtakatifu huyu zaonyesha jinsi pengine ilivyo vigumu kutofautisha kati ya mambo ya...
26
Des
Stefano
Wakristu walipoanza kuwa wengi, matatizo yalianza kuongezeka kutokana na ubaguzi wa kikabila. Kitabu cha Maten...
27
Des
Yohani , Mtume na Mwinjili
Mt. Yohani alizaliwa Betsaida mkoani Galilaya (Israel). Baba yake alikuwa Zebedayo na mama yake alikuwa Salome...
28
Des
Watoto Watakatifu
Leo, Kanisa lawakumbuka watoto ambao Mwinjili Matayo amewataja katika injili yake. Hao waliuawa kwa amri ya Mf...
29
Des
Tomasi Beket
Toma Beket alizaliwa mjini London (Uingereza) mwaka 1118. Wazee wake ambao majina yao ni Gilbert na Matilda, w...
30
Des
Familia Takatifu
Sikukuu ya Familia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu, huadhimishwa kila mwaka siku ya Jumapili ifuatayo Shereh...
31
Des
Silvesta wa Kwanza, Papa
Zipo hadithi mbalimbali kumhusu Papa huyu, lakini hizo hazina msingi wowote kihistiria. Hivyo Papa Silvesta wa...