Ruka hadi maudhui
Mkatoliki Leo
Watakatifu

Watakatifu wa Januari

Historia za maisha ya watakatifu kwa kila siku ya mwaka.

2 Jan Basili Mkuu Mtakatifu Basili alistahili kuitwa 'Mkuu' kwa sababu ya akili na utakatifu wake. Alikuwa mtoto wa Mtakatifu Ba... 2 Jan Gaspari de Bufalo Mt. Gaspari ni Mwanzilishi wa Shirika la Damu Takatifu ya Yesu. Alizaliwa Roma mwaka 1786, akapewa upadre mwak... 2 Jan Gregori wa Nazianze Mt. Gregori alizaliwa Kapadokia (Uturuki) na wazazi bora wanaoheshimiwa na Kanisa kama watakatifu. Alizaliwa K... 3 Jan Genoveva Msimamizi wa Mji wa Paris Inasemekana kwamba, askofu katika safari zake za jimboni mwake, alikaa siku chache katika kijiji alimokuwa aki... 4 Jan Elizabeti Ann Seton Elizabeti alizaliwa mjini New York (Marekani) mwaka 1774 katika ukoo bora sana wa watu waliokuwa tajiri kweli.... 4 Jan Rigoberti Rigoberti aliishi karne ya sita katika nchi ya Ufaransa. Miaka kadhaa baada ya kuwa abati wa Wabenediktini, al... 5 Jan Simeoni wa Mnarani Mt. Simeoni wa Mnarani alikiwa mtoto wa Mchungaji maskini katika nchi ya Siria. Tangu utoto wake alipendelea k... 6 Jan Baltazar, Kaspari na Melkiori Epifania ni neno la Kigiriki, maana yake ni tokeo. Leo ni sikukuu ya Tokeo la Bwana. Mwana wa Mungu alipozaliw... 7 Jan Raymundi wa Penyafort Raymundi alizaliwa mjini Penyafort mwaka 1175, wazazi wake walikuwa wa ukoo wa wafalme wa Aragoni (Hispania).... 8 Jan Abo, Mfiadini Mt. Abo alizaliwa Bagdad (Iraki). Alikuwa kijana wa kiarabu na Mwislamu, ambaye wakati wa ujana wake aliingia... 8 Jan Apolinari Apolinari alikuwa Askofu wa Hierapolis katika nchi ya Frigia (Uturuki) naye huitwa "Mtetezi wa Dini". Alikuwa... 9 Jan Adriano Adriano alikuwa Mwafrika kwa asili yake. Alipokuwa Abati wa monasteri moja karibu na Monte Kasino (Italia), ma... 10 Jan William wa Burge, Askofu Tangu utoto wake, William alimwelekea Mungu. Aliingia Upadre, akamtamani Mungu zaidi na zaidi. Kwa nia hiyo nd... 11 Jan Teodosi, Abati Mkuu Mt. Teodosi alizaliwa Kapodokia (Uturuki). Alipokuwa bado kijana alikwenda kuhiji nchi Takatifu. Alipofika huk... 12 Jan Sesaria, Askofu Mt. Sesaria, Askofu wa Arle (Ufaransa), alikuwa Askofu hodari na mhubiri aliyesifika. Alihubiri kwa ufupi na k... 13 Jan Hilari wa Pwatye Hilari alizaliwa na wazazi matajiri wa Akwitania (Ufaransa) waliokuwa wapagani. Alipokuwa na umri wa miaka the... 14 Jan Sava wa Serbia, Askofu Sava alizaliwa 1175, akiwa mtoto wa kiume wa tatu wa Stefano wa kwanza, Mfalme wa Serbia (Yugoslavia). Alipoku... 15 Jan ida, Bikira Mt. Ida alizaliwa Ireland. Kijana mmoja wa familia maarufu alimwomba baba wa Ida ili amwoe binti yake. Ida aka... 17 Jan Antoni wa Misri, Mkaa Pweke Mtakatifu Antoni anajulikana kama mwanzilishi wa maisha ya kitawa. Hii ni kwa sababu alivikusanya vikundi vya... 18 Jan Margareta wa Hungaria, Mtawa Mt. Margareta alizaliwa mwaka 1242. Baba yake alikuwa Mfalme wa Hungaria, ambaye alijenga konventi kwa ajili y... 19 Jan Margareta Burjwa Margareta Burjwa (Bourgois) alizaliwa Ufaransa mwaka 1620. Alikuwa mtoto wa sita kati ya watoto 12. Alipokuwa... 20 Jan Fabiano, Papa na Mfiadini Mwaka 236 Mapadre na Wakristu wa Roma walikutana ili wamchague Papa. Njiwa alitoka Mbinguni akatua juu ya kich... 20 Jan Sebastiano, Mfiadini Sebastiano alikuwa askari aliyewasaidia Wakristu waliokuwa wanateswa na kufukuzwa siku zile. Alishikwa na kupe... 21 Jan Anyesi (Agnes), Mfiadini Anyesi alikuwa na umri wa miaka kumi na mbili tu aliposukumwa mbele ya Altare ya Minerva aliyekuwa Mungu wa uw... 22 Jan Vinsenti Palloti Mt. Vinsenti alizaliwa Roma mwaka 1795. Alipokuwa mtoto hakuwaridhisha walimu wake. Siku moja mwalimu wake ali... 23 Jan Yohani Mtoa Sadaka, Askofu Mt. Yohani alikuwa mtu wa familia ya Kisharifu. Baada ya kufiwa na Mkewe na wanae huko Ziwani Kupro, alitumia... 24 Jan Fransisko wa Sale Mt. Fransisko alizaliwa katika mji wa Sale (Ufaransa), mwaka 1567. Wazazi wake walimlea kitajiri kama ilivyoku... 26 Jan Timoteo, Askofu Baba wa Mtakatifu Timoteo alikuwa mpagani, na mama yake alikuwa Myahudi. Timoteo aliongoka akawa Mkristu wakat... 26 Jan Tito, Askofu Mt. Tito alizaliwa na wazazi wapagani. Aliongoka na kushika dini ya kweli, dini ya Kikristu. Paulo Mtakatifu a... 27 Jan Anjela wa Merichi Anjela alikuwa mtoto mpendelevu. Alizaliwa mwaka 1470 karibu na Breshia huko Italia. Alikuwa mtoto mcha Mungu... 28 Jan Toma wa Akwino Mtakatifu Toma alizaliwa mwaka 1225 katika familia tajiri huko Akwino (Italia). Alisoma kwa Monte Kasino, hala... 29 Jan Gilidas Mwenye Hekima, Abati Mt. Gilidas alizaliwa Uingereza mnamo mwaka 500, akawa baadaye Padre, alafu akawa monasteri. Alikuwa mtu aliye... 30 Jan Yasinta, Mtawa Habari za Mt. Yasinta zinashangaza sana kuliko masimulizi mengine kuhusu maisha ya Watakatifu. Ni jambo lisilo... 31 Jan Yohane Bosco Msimamizi wa Vijana Yohane Bosco (16 Agosti, 1815 – 31 Januari, 1888) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa Shirika l...