Ruka hadi maudhui
Mkatoliki Leo
Kila siku

Tafakari

Tafakari juu ya masomo ya Misa Takatifu ya kila siku.

Tafakari ya Leo Gharama ya Kuwa Mfuasi! Jumatano, 4 Novemba 2026 Katika injili ya Luka, tunaona Yesu yupo njiani kuelekea Yerusalemu. Ndani ya akili yake akiwa amejaa na kuhusu mateso, kifo na ufufuko ambavyo vingempata. Umati ulikuwa ukitembea pamoja naye lakini katika ukweli ulikuwa hautembei naye. Umati ulikuwa ukidhani... Soma tafakari →
Jumanne, 3 Novemba 2026 Majukumu ya Kikristo! Kwetu sisi uhusiano wetu ni sawa na uhusiano wa viungo vya mwili. Kama vile viungo vya mwili vinavyo fanya kazi kwa ushirikiano na kwa umoja, sisi pia ni jumuiy... Jumatatu, 2 Novemba 2026 Mimi ni Ufufuo na Uzima! Leo Kanisa Katoliki linawaombea watoto wake, ambao katika siku ya kufa, japo walitamani utukufu usio na mwisho Mbinguni, hawakuwa wamejiandaa vyema kuingia kati... Jumapili, 1 Novemba 2026 Watakatifu: Wito wa Watu Wote wa Kuwa Watakatifu! Watakatifu ni wale walio jitahidi kuishi hapa duniani kadiri ya thamani ya Injili. Hata baada ya kifo chao wanaendelea kuwa mfano na mashuhuda wa Injili kwa wal... Jumamosi, 31 Oktoba 2026 Kuwa wa Kwanza! Wana michezo mashuhuri walisema; “kushinda sio kila kitu, ni kitu tu”. Kwa maneno mengine, kuwa wakwanza ni muhimu sana kwa wengine kiasi kwamba inakuwa ndicho... Ijumaa, 30 Oktoba 2026 Kuwa na Huruma Leo Yesu anwauliza Mafarisayo swali “je, ni kinyume cha sheria kumponya mtu siku ya Sabato?” Mafarisayo hawana jibu. Baada ya kumponya mtu aliyekuwa na ukoma, a... Alhamisi, 29 Oktoba 2026 Kusali Bila Kuchoka! Lengo la Barua kwa Waefeso ina lenga kujenga jumuiya ya Wakristo iliyo na upendo na umoja. Leo tuna maelekezo ya mwisho “salini nyakati zote daima katika Roho”.... Jumatano, 28 Oktoba 2026 Umoja katika Wingi ! Mungu humwalika mwanadamu daima katika kazi yake ya ukombozi. Yesu aliwachagua watu wa kawaida kabisa wa kipindi chake kuwa mitume wake. Anawapa nguvu na mamlak... Jumanne, 27 Oktoba 2026 Ufalme wa Mungu-Upo na Bado Utakamilika Katika somo la kwanza Mtume Paulo anaendelea na maelekezo yake kwa Waefeso jinsi ya kuenenda kama wafuasi wa Kristo na leo anaingia katika ngazi ya familia. Ana... Jumatatu, 26 Oktoba 2026 Huruma ya Mungu! Katika Injili ya Leo Yesu anamponya Mwanamke mmoja mgonjwa aliyekuwa na pepo kwa muda wa miaka kumi nane. Lakini cha kushangaza viongozi wa Sinagogi hawakufurah...