Dominika ya 23 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze. 33:7-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 95:1-2, 6-9Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake!
Tusifanye migumu mioyo yetu.
Njoni tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele yake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake!
Njoni, tuabudu, tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake!
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba;
Kama siku ile ya Masa jangwani,
Hapo waliponijaribu baba zetu;
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake!
Somo la Pili
Rum. 13:8-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu;
Na baba yangu atampenda; Nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mt. 18:15-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni