Jumamosi ya 22 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kol. 1:21-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 54:1-2, 4, 6Mungu ndiye anayenisaidia.
Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe,
Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
Ee Mungu, uyasikie maombi yangu,
Uyasikie maneno ya kinywa changu.
K. Mungu ndiye anayenisaidia.
Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia
Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu,
Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu;
Ee Bwana, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.
K. Mungu ndiye anayenisaidia.
Shangilio la Injili
Zab. 119:34Unifahamishe nami nitaishika sheria yako,
nitaitii kwa moyo wangu wote.
Aleluya.
Injili
Lk. 6:1 – 5Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni