Jumamosi ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 11:18-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 7:1-2, 8-12Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe.
Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe,
Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye.
Asije akaipapura nafsi yangu kama samba,
Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
K. Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe.
Bwana, unihukumu mimi,
Kwa kadiri ya haki yangu,
Sawasawa na unyofu nilio nao.
Ubaya wao wasio haki na ukome,
Lakini umthibitishe mwenye haki.
K. Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe.
Ngao yangu ina Mungu,
Awaokoaye wanyofu wa moyo.
Mungu ni mwamuzi mwenye haki,
Naam, Mungu aghadhibikaye kila siku.
K. Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe.
Shangilio la Injili
Lk 15:18Injili
Yn 7:40-52Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni