Ijumaa ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 2:1, 12-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:16-20, 22Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo.
Uso wa Bwan ani juu ya watenda mabaya,
Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Walilia, naye Bwan akasikia,
Akawaponya na taabu zao zoe.
K. Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo.
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
Mateso ya mwenye haki ni mengi,
Lakini Bwana humponya nayo yote.
K. Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo.
Huihifadhi mifupa yake yote,
Haukuvunjika hata mmoja.
Bwana huzikombo a nafsi za watumishi wake,
Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
K. Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo.
Shangilio la Injili
Lk 8:15Injili
Yn 7:1-2, 25-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni