Alhamisi ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 32:7-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 106:19-23Ee Bwana unikumbuke mimi, kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
Walifanya ndama huko Horebu,
Wakaisujudia sanamu ya kuyeyuka.
Wakaubadili utukufu wao
Kuwa mfano wa ng’ombe mla majani.
K. Ee Bwana unikumbuke mimi, kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
Matendo ya ajabu katika nchi ya Hamu,
Mambo ya kutisha penye bahari ya Shamu.
Wakamsahau Mungu, mwokozi wao,
Aliyetenda makuu katika Misri.
K. Ee Bwana unikumbuke mimi, kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
Akasema ya kuwa atawaangamiza,
Kama Musa, mteule wake, asingalisimama,
Mbele zake kama mahali palipobomoka,
Ili aigeuze hasira yake asije akawaharibu.
K. Ee Bwana unikumbuke mimi, kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
Shangilio la Injili
Mt 4:17Injili
Yn 5:31-47Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni