Dominika ya 8 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 27:4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 92:1-2, 12-15Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Ni neno jema kumshukuru Bwana,
Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
Kuzitangaza rehema zako asubuhi,
Na uaminifu wako wakati wa usiku.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Mwenye haki atasitawi kama mtende,
Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Waliopandwa katika nyumba ya Bwana
Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee,
Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Watangaze ya kuwa Bwana ni mwenye adili,
Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
K. Ni neno jema kumshukuru Bwana.
Somo la Pili
1Kor 15:54-58Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 4:23Kristu alihubiri habari njema ya ufalme Na kuponya wagonjwa na udhaifu wa kila namna Katika watu
Aleluya
Injili
Lk 6:39-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni