Jumatatu ya 8 ya mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS 17:24-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 12 :1-2,5-7Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Heri aliyesamehewa dhambi,
Na kusitiriwa makosa yake.
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu.
Ambaye rohoni mwake hamna hila.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Nalikujulisha dhambi yangu,
Wala sikuuficha upotovu wangu.
Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Kwa hiyo kila mtu mtauwa
Akuombe wakati unapopatikana.
Hakika maji makuu yafurikapo,
Hayatamfikia yeye.
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso,
utanizungusha nyimbo za wokovu.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Shangilio la Injili
Zab 147:12,15Msifu Bwana, ee Yerusalemu, huipeleka amri yake juu ya nchi.
Aleluya.
Injili
Mk 10:17-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
George Mbavu · 3 Machi 2025
Sifa na utufu ni kwako ee bwana