Jumamosi ya 7 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS 17:1–15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:13-18Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake,
Ndivyo Bwana anavyowahurumia wamchao.
Kwa maana Yeye anatujua umbo letu,
Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Mwanadamu siku zake zi kama majani;
Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo.
Maana upepo hupita juu yake, kumbe haliko!
Na mahali pake hapatalijua tena.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Bali fadhili za Bwana zina wamchao Tangu milele hata milele,
Na haki yake ina wana wa wana;
Maana, wale walishikao agano lake,
Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Shangilio la Injili
Zab 130:5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Mk 10:13–16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni