Jumamosi ya 1 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 4:12-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7-9, 14Wewe, Ee Bwana, unayo maneno ya uzima wa milele.
Sheria ya Bwana ni kamilifu, Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini, Humtia mjinga hekima.
K. Wewe, Ee Bwana, unayo maneno ya uzima wa milele.
Maagizo ya Bwana ni ya adili, Huufurahisha moyo.
Amri ya Bwana ni safi, Huyatia macho nuru.
K. Wewe, Ee Bwana, unayo maneno ya uzima wa milele.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu, Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli, Zina haki kabisa.
K. Wewe, Ee Bwana, unayo maneno ya uzima wa milele.
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako,
Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
K. Wewe, Ee Bwana, unayo maneno ya uzima wa milele.
Shangilio la Injili
Lk 4:18–19Bwana amenituma kuwahubiri maskini habari njema, kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao.
Aleluya.
Injili
Mk 2:13-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
LIVINUS MUKYANUZI · 18 Januari 2025
Amri za bwana ni za adili