Kumbukumbu ya Mt. Antoni, Abate
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 4:1–5, 11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 78:3–4, 6–8Msiyasahau matendo ya Mungu.
Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu,
Ambayo baba zetu walituambia,
Tukiwaambia kizazi kindine
Sifa za Bwana na nguvu zake.
K. Msiyasahau matendo ya Mungu.
Wasimame na kuwaambia wana wao,
Wamwekee Mungu tumaini lao,
Wala wasiyasahau matendo ya Mungu,
Bali wazishike amri zake.
K. Msiyasahau matendo ya Mungu.
Wasiwe kama baba zao,
Kizazi cha ukaidi na uasi,
Kizazi kisichojitengeneza moyo,
Wala roho yake haikuwa amini kwa Mungu.
K. Msiyasahau matendo ya Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, Ee Bwana, ututakase kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Mk 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni