Dominika ya 2 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 62:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:1-3, 7-10Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake,
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,
Na watu wote habari za maajabu yake.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Mpeni Bwana, enyi jamaa za watu,
Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake,
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu,
Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Atawahukumu watu kwa adili.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Somo la Pili
1Kor 12:4-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Yesu aliwaambia akasema: Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, Yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Yn 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
TGNED DELIA · 19 Januari 2025
Amen