Dominika ya 32 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 17:10-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:6-10Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa.
Huwapa wenye njaa chakula;
Naye huwafungua waliofungwa.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwafumbua macho waliopofuka,
Naye huwainua walioinama.
Bwana huwapenda wenye haki,
Naam, huwahifadhi wageni.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwategemeza yatima na mjane,
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele milele,
Mungu wako, ee Sayuni, kizazi hata kizazi.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Somo la Pili
Ebr 9:24-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:6Mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima, asema Bwana; Mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
Injili
Mk 12:38-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni