Kumbukumbu ya Mt. Martin wa Tours, Askofu
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Tit 1:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:1-6Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao, Ee Bwana
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana,
Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,
Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao, Ee Bwana
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana?
Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,
Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao, Ee Bwana
Atapokea baraka kwa Bwana,
Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,
Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao, Ee Bwana
Shangilio la Injili
1Sam. 3:9, Yn. 6:68Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia: wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Lk 17:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni