Dominika ya 25 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 55:6–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2-3, 8-9, 17-18Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Kila siku nitakuhimidi,
Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana,
Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema.
Bwana ni mwema kwa watu wote;
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Somo la Pili
Flp 1:20-24, 27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:12, 14Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Mt 20:1-16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni