Jumamosi ya 24 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Tim 6:13-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100Njoni mbele za Bwana kwa kuimba.
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba.
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba.
Shangilio la Injili
Kol 3:16,17Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote; mkimshukuru Mungu Baba kwa Yeye.
Aleluya.
Injili
Lk 8:4-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni