Jumatatu ya 3 ya Majilio
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hes 24:2-7, 15-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25:4-6, 7b-9Ee Bwana, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako,
Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha.
Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu,
Nakungoja Wewe mchana kutwa.
(K)Ee Bwana unijulishe njia zako.
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako,
Maana zimekuwako tokea zamani.
Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako,
Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.
(K)Ee Bwana unijulishe njia zako.
Bwana yu mwema, mwenye adili,
Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu,
Wenye upole atawafundisha njia yake.
(K)Ee Bwana unijulishe njia zako.
Shangilio la Injili
Zab 85:7Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
Aleluya.
Injili
Mt 21:23-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni