Dominika ya 3 ya Majilio
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 35:1-6, 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:6-10Uje Bwana kutuokoa
Huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa;
K. Uje Bwana kutuokoa
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bwana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
K. Uje Bwana kutuokoa
Huwategemeza yatima na mjane;
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele, Mungu wako,
Ee Sayuni, kizazi hata kizazi.
K. Uje Bwana kutuokoa
Somo la Pili
Yak 5:7-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 4:18Roho wa Bwana yu juu yangu, Amenituma kuwahubiri maskini habari njema;
Aleluya
Injili
Mt 11:2-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni