Kumbukumbu ya Mt. Padre Pio wa Pietrelcina, Mkapuc
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mhu 3:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 144:1-4Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu
Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana.
Mhisani wangu na boma langu, Ngome yangu na mwokozi wangu, Ngao yangu niliyemkimbilia, Huwatiisha watu wangu chini yangu.
K. Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu
Ee Bwana, mtu ni kitu gani hata umjue? Na binadamu hata umwangalie?
Binadamu amefanana na ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
K. Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu
Shangilio la Injili
Mk 10:45Mwana wa Adamu naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.
Aleluya
Injili
Lk 9:18-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni