Jumatatu ya 25 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mit. 3:27-34Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 15Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki.
Asemaye kweli kwa moyo wake,
Asiyesingizia kwa ulimi wake.
(K)Mtu aendaye kwa ukamilifu, atafanya maskani yake, katika kilima chako kitakatifu
Wala hakumtenda mwenziwe mabaya, Wala hakumsengenya jirani yake.
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa,
Bali huwaheshimu wamchao Bwana Ingawa ameapa kwa hasara yake,
Hayabadili maneno yake.
(K)Mtu aendaye kwa ukamilifu, atafanya maskani yake, katika kilima chako kitakatifu
Hakutoa fedha yake apate kula riba, Hakutwaa rushwa amwangamize asiye na hatia.
Mtu atendaye mambo hayo Hataondoshwa milele.
(K)Mtu aendaye kwa ukamilifu, atafanya maskani yake, katika kilima chako kitakatifu
Shangilio la Injili
Mt 5:16Nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Aleluya
Injili
Lk 8:16-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni