KUMBUKUMBU YA WAT. ANDREA KIM TAEGON NA WENZAKE MA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mit. 21:1 – 6, 10 – 13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 119:1, 27, 30, 34 – 35, 44Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Heri walio kamili njia zao,
Waendao katika sheria ya Bwana.
Unifahamishe njia ya mausia yako,
Nami nitayatafakari maajabu yako.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Nimeichagua njia ya uaminifu,
Na kuziweka hukumu zako mbele yangu.
Unifahamishe nami nitaishika sheria yako,
Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako,
Kwa maana nimependezwa nayo.
Nami nitaitii sheria yako daima,
Naam, milele na milele.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
1Pet. 1:25Neno la Bwana hudumu hata milele,
na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Aleluya.
Injili
Lk. 8:19 – 21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni