Dominika ya 25 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Amo 8:4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 113:1-2, 4-8Msifuni Bwana anayewakweza maskini
Aleluya. Enyi watumishi wa Bwana, sifuni, Lisifuni jina la Bwana.
Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
K. Msifuni Bwana anayewakweza maskini
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
Ni nani aliye mfano wa Bwana, Mungu wetu aketiye juu;
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
K. Msifuni Bwana anayewakweza maskini
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake.
K. Msifuni Bwana anayewakweza maskini
Somo la Pili
1 Tim 2:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
1 Sam 3:9; Yn 6:68Nena Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia, Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya
Injili
Lk 16:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni