Ijumaa ya 22 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 4:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 37:3-6, 27-28, 39-40Wokovu wa wenye haki una Bwana
Umtumaini Bwana ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana, Naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama adhuhuri.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Jiepue na uovu, utende mema, Na kukaa hata milele.
Kwa kuwa Bwana hupenda haki, Wala hawaachi watauwa wake.
Wao hulindwa milele, Bali mzao wa wasio haki ataharibiwa.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Na wokovu wa wenye haki una Bwana; Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Naye Bwana huwasaidia na kuwaopoa; Huwaopoa na wasio haki na kuwaokoa;
Kwa kuwa wamemtumaini Yeye.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya
Injili
Lk 5:33-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni