Alhamisi ya 22 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 3:18-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24 :1-6Nchi na vyote viijazvyo ni mali ya Bwana
Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,
Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Nchi na vyote viijazvyo ni mali ya Bwana
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana?
Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,
Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili,
K. Nchi na vyote viijazvyo ni mali ya Bwana
Atapokea baraka kwa Bwana,
Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,
Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Nchi na vyote viijazvyo ni mali ya Bwana
Shangilio la Injili
Mt 4:19Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.
Aleluya
Injili
Lk 5:1-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni