Mt. Gregori Mkuu, Baba Mtakatifu na Mwalimu wa Kan
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 4:6b-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:17-21Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Atawafanyia wamchao matakwa yao,
Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa.
Bwana huwahifadhi wote wampendao,
Na wote wasio haki atawaangamiza.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana;
Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
K. Bwana yu karibu na wote wamwitao.
Shangilio la Injili
Yn 14:6Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya
Injili
Lk 6:1-5Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni