Ijumaa ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 11:10-12:14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 116:12-13, 15-18nitakipokea kikombe cha wokovu, na kulitangaza jina la Bwana.
Nimrudishie Bwana nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu;
Na kulitangaza jina la Bwana.
K. nitakipokea kikombe cha wokovu, na kulitangaza jina la Bwana.
Ina thamani machoni pa Bwana
Mauti ya wacha Mungu wake.
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
Umevifunga vifungo vyangu.
K. nitakipokea kikombe cha wokovu, na kulitangaza jina la Bwana.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;
Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
K. nitakipokea kikombe cha wokovu, na kulitangaza jina la Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 119:28, 33Unitie nguvu sawasawa na neno lako, ee Bwana, unifundishe njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Mt 12:1–8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni