Alhamisi ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 3:13-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:1, 5, 8-9, 24-27Bwana analikumbuka agano lake milele.
Aleluya.
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake,
Wajulisheni watu matendo yake.
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya,
Miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Analikumbuka agano lake milele;
Neno lile aliloviamuru vizazi elfu.
Agano alilolifanya na Ibrahimu,
Na uapo wake kwa Isaka.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Akawajalia watu wake wazae sana,
Akawafanya kuwa hodari kuliko watesi wao.
Akawageuza moyo wawachukie watu wake,
Wakawatendea hila watumishi wake.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Shangilio la Injili
Zab 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Aleluya.
Injili
Mt 11:28–30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni