Jumamosi ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 12:37-42Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 136:1, 10-15, 23-24Fadhili zake ni za milele.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Yeye aliyewapiga Wamisri kwa kuwaua wazaliwa wa kwanza wao;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Akawatoa Waisraeli katikati yao;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Fadhili zake ni za milele.
Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Akawavusha Israeli katikati yake;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Fadhili zake ni za milele.
Aliyetukumbuka katika unyonge wetu;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Akatuokoa na watesi wetu;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
K. Fadhili zake ni za milele.
Injili
Mt 12:14-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni