Jumatano ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 3:1-6, 9-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-4, 6-7Bwana amejaa huruma na neema.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Naam vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Akusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote.
Aukomboa uhai wako na kaburi,
Akutia taji ya fadhili na rehema.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,
Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Akimjulisha Musa njia zake,
Wana wa Israeli matendo yake.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Shangilio la Injili
Zab 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Aleluya.
Injili
Mt 11:25–27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni