Jumanne ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 2 :1-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69 :3, 14, 30-31, 33-34Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe, kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Uniponye kwa kunitoa matopeni,
Wala usiniache nikazama
Na niponywe nao wanaonichukia,
Na katika vilindi vya maji.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe, kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Wakanipa uchungu kuwa chakula changu;
Nami nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki.
Meza yao mbele yao na iwe mtego;
Naam, wakiwa salama na iwe tanzi.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe, kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo,
Nami nitamtukuza kwa shukrani.
Nayo yatampendeza Bwana kuliko ng’ombe,
Au ndama mwenye pembe na kwato.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe, kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji,
Wala hawadharau wafunga wake.
Mbingu na nchi zimsifu,
Bahari na vyote viendavyo ndani yake.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe, kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Shangilio la Injili
Zab 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame, maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Mt 11 :20-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni