Jumatatu ya 6 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 16:11-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 149 :16, 9Bwana awaridhia watu wake. au Aleluya.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya,
Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Bwana awaridhia watu wake. au Aleluya.
Au: Aleluya.
Na walisifu jina lake kwa kucheza,
Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake,
Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Bwana awaridhia watu wake. au Aleluya.
Au: Aleluya.
Watauwa na waushangilic utukufu,
Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wote.
K. Bwana awaridhia watu wake. au Aleluya.
Au: Aleluya.
Shangilio la Injili
Rum. 6 : 9Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena wala mauti haimtawali tena.
Aleluya.
Injili
Yn. 15:26-16:4Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni