Dominika ya 6 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 10:25-26, 34-35, 44-48Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Somo la Pili
1 Yoh 4:7-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Yesu alisema: Mtu akinipenda atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Yn 15:9-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni