Jumanne ya 6 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 16:22-34Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 138; 1-3, 7-8Utanyosha mkono, Ee Bwana, utaniokoa. aur Aleluya.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,
K. Utanyosha mkono, Ee Bwana, utaniokoa. aur Aleluya.
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako,
Siku ile niliyokuita uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Utanyosha mkono, Ee Bwana, utaniokoa. aur Aleluya.
Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu,
Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
K. Utanyosha mkono, Ee Bwana, utaniokoa. aur Aleluya.
Shangilio la Injili
Kol 3:1Mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, amcketi mkono wa kuume wa dunia.
Aleluya.
Injili
Yn 16:5-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni