Kumbukumbu ya Watakatifu Malaika Walinzi wetu
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ayu 38:1, 12–21, 40:3–5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 139:1–3, 7–10, 13–14Uniongoze Bwana, katika njia ya milele.
Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu:
Umelifahamu wazo langu tokea mbali.
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
Umeelewa na njia zangu zote.
K. Uniongoze Bwana, katika njia ya milele.
Niende wapi nijiepushe na roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako?
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko;
Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
K. Uniongoze Bwana, katika njia ya milele.
Ningezitwaa mbawa za asubuhi,
Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Huko nako mkono wako utaniongoza,
Na mkono wako wa kuume utanishika.
K. Uniongoze Bwana, katika njia ya milele.
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu,
Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha.
K. Uniongoze Bwana, katika njia ya milele.
Shangilio la Injili
Yn 14:5Bwana anasema: mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
Injili
Lk 10:13–16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni