Jumamosi ya 26 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ayu 42:1–3, 5–6, 12–17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:66, 71, 75, 91, 125, 130Umwangazie mtumishi wako uso wako, Ee Bwana.
Unifundishe akili na maarifa,
Maana nimeyaamini maagizo yako.
Ilikuwa vema kwangu kuwa naliteswa,
Nipate kujifunza mari zako.
K. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Ee Bwana.
Najua ya kuwa hukumu zako ni za haki,
Ee Bwana, na kwa uaminifu umenitesa.
Kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo,
Maana vitu vyote ni watumishi wako.
K. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Ee Bwana.
Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe,
Nipate kuzijua shuhuda zako.
Kufananisha maneno yako kwatia nuru,
Na kumfahamisha mjinga.
K. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Bwana anasema: Siwaiti tena watumwa, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu, nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Lk 10:17-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni