Dominika ya 24 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS 27:30-28:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-4, 9-12Bwana amejaa huruma na neema,
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Naam, vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
K. Bwana amejaa huruma na neema,
si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhili.
Ndiye anayekusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote.
Akomboa uhai wako na kaburi,
Akutia taji ya fadhili na rehema.
K. Bwana amejaa huruma na neema,
si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhili.
Yeye hatateta siku zote,
Wala hatashika hasira yake milele.
Hatutendei kadiri ya hatia zetu,
Wala halipi kwa kadiri ya maovu yetu.
K. Bwana amejaa huruma na neema,
si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhili.
Maana vile mbingu zilivyoinuka juu ya nchi,
Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
Kama mashariki ilivyo mbali ma magharibi,
Ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.
K. Bwana amejaa huruma na neema,
si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhili.
Somo la Pili
Rum 14:7-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 13:34Amri mpya nawapa, asema Bwana,
mpendane, kama vile nilivyowapenda ninyi.
Aleluya.
Injili
Mt 18:21-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Genes Protas Urassa · 13 Septemba 2020
Basi masomo ya leo yanatufundisha kua kuishi ubinadamu ni kuishi katika roho wa bwana, tusiwe na visasi kwa wenzetu bali tusamehane kwa kila kosa.