Jumamosi ya 23 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 10:14-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 116:12-13,17-18Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru, Ee Bwana
Nimrudishie Bwana nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana;
K. Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru, Ee Bwana
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru; Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, Naam, mbele ya watu wake wote.
K. Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru, Ee Bwana
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya
Injili
Lk 6:43-49Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Felix Gama · 12 Septemba 2020
Tafakari muhimu