Jumanne ya 14 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hos 8:4-7, 11-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 115:3-10Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.
Sanamu zao ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni,
Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu,
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi,
Wazifanyao watafanana nazo, Kila mmoja anayezitumainia.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Enyi Israeli, mtumainini Bwana; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Enyi mlango wa Haruni, mtumainini Bwana; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
K. Enyi Israeli, mtumainini Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;
Aleluya
Injili
Mt 9:32-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni