Jumatatu ya 14 ya mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hos 2:14-16, 19-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2-9Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma.
Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma.
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
K. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma.
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu. Wataiimba haki yako.
K. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma.
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Bwana ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma.
Shangilio la Injili
2 Tim 1:10Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika, kwa ile Injili;
Aleluya
Injili
Mt 9:18-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni