Jumapili ya 14 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Is 66:10-14cNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 66:1-7, 16, 20Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake.
Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini!
Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako,
Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
(K)Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote
Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.
Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
(K)Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote
Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko mlikomfurahia.
Atawala kwa uweza wake milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao.
(K)Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote
Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake.
(K)Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote
Somo la Pili
Gal 6:14-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:12, 14Naye neno alifanyika mwili akakaa kwetu;wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
Aleluya
Injili
Ln 10:1-12, 17-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni