Jumamosi ya 9 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2 Tim 4:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Tob 13:2, 6Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Hurudi, na kurehemu tena,
Hushusha hata kuzimu, na kuinua tena;
Wala hakuna awezaye kujiepusha na mkono wake.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Mkimgeukia kwa moyo wote na roho yote,
Na kutenda kweli zake.
Ndipo atakapowageukia ninyi,
Wala hatawaficheni uso wake.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Angalieni atakavyowatendea:
Mshukuruni kwa vinywa vyenu vyote;
Mhimidini Bwana mwenye haki;
Mtukuzeni Mfalme wa milele.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Katika nchi ya kufungwa kwangu namshukuru;
Nawahubiri taifa la wakosaji nguvu zake na enzi yake.
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Enyi wakosaji, geukeni, mkatende haki mbele zake;
Nani ajuaye kama atawakubali na kuwarehemu?
K. Amehimidiwa Mungu aishiye milele.
Shangilio la Injili
Yn 10: 27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Mk 12:38-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Joseph Pamba · 6 Juni 2020
Mbarikiwe sana.