Kumbukumbu ya Mt. Bonifasi, Askofu na Mfiadini
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Tim 3:10-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:157, 160-161, 165-166, 168Wana amani nyingi waipendao sheria yako.
Wanaonifuatia na watesi wangu ni wengi,
Lakini sikujiepusha na shuhuda zako.
Jumla ya neno lako ni kweli,
Na kila hukumu ya haki yako ni ya milele.
K. Wana amani nyingi waipendao sheria yako.
Wakuu wameniudhi bure,
Ila moyo wangu unayahofia maneno yako.
Wana amani nyingi waipendao sheria yako,
Wala hawana la kuwakwaza.
K. Wana amani nyingi waipendao sheria yako.
Ee Bwana, nimeungojea wokovu wako,
Na maagizo yako nimeyatenda.
Nimeyashika mausia yako na shuhuda zako,
Maana njia zangu zote zi mbele zako.
K. Wana amani nyingi waipendao sheria yako.
Injili
Mk 12:35-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni