Sherehe ya Utatu Mtakatifu
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Kut 34:4b-6, 8-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Dan 3:52-56Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Umehimidiwa, Ee Bwana, Mungu wa baba zetu:
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Limehimidiwa jina lako takatifu, tukufu
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Umehimidiwa katika hekalu la fahari yako takatifu;
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa juu ya kiti cha ufalme wako;
Wastahili kusifiwa na kurukuzwa milele.
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Umehimidiwa utazamaye vilindi, uketiye juu ya makerubi;
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
Umehimidiwa katika anga la mbinguni
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
K. Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Somo la Pili
2Kor 13:11-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ufu 1:8Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, Mungu ambaye yupo, aliyekuwako na atakayekuja.
Aleluya
Injili
Yn 3:16-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni